|
Abba Mattewos alikuwa mfuasi wa Abba Zä-Mika'él Arägawi wakati Däbrä Damo kwa mara ya kwanza ilifanywa kama eneo la watawa, na alimrithi kama mtawa mkuu pale.
A. K. Irvine
Makala hii imenakiliwa, kwa ruhusa, toka The Dictionary of Ethiopian Biogoraphy, Vol. 1 'From Early Times to the End of the Zagwé Dynasty c. 1270 A.D.,' hatimiliki 1975, imehaririwa na Belaynesh Michael, S. Chojnacki na Richard Pankhurst, Institute of Ethiopian Studies, Addis Ababa, Ethiopia. Haki zote zimehifadhiwa.